THE DICE

THE DICE

Avatar

WEKAREPLAY.COM presents:
Ukinibeep tu nakupigia!!!
So simba so chui so mamba ngozi yangu inatosha kujigamba...
Na sina maneno ya kwenye kanga ni kazi juu ya kazi yaan bambaa tu bambaa
Huna mchuzi no excuse, Maisha yetu ya kila siku kama vile movie
Vitu vingine havitakagi ujuaji utajikuta unatandikia watu jamvi
Kusubiria embe chini ya mnazi, Kumuelewesha chizi utajipa kazi.
si bado tupo macho mida ya wanga!!!

Comments

Avatar