Keep up to date with every new upload!

Join free & follow Je Nifanyeje? - Voice of Amer
Share
  • 2 years ago
Je Nifanyeje? - Agosti 13, 2016

Je Nifanyeje? - Agosti 13, 2016

Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30 kinacholenga vijana kwa kufuatulia maisha ya vijana, hasa wasichana, kuwasaidia kufanya maamuzi mazuri ya kiafya na kijamii ambayo yanaweza kuwa na maana katika maisha yao milele. Kipindi hiki kina sehemu ya habari za afya, majadiliano, na maswali na majibu kwa madaktari na wataalam wengine.

Comments