Keep up to date with every new upload!

Join free & follow Idhaa ya Redio ya UM
Share
  • 2 years ago
Stuka! Sonona chanzo cha ulemavu, inatibika: WHO

Stuka! Sonona chanzo cha ulemavu, inatibika: WHO

Sonona hutokana na athari za kisaikolojia, miongoni mwa vichochezi ni migongano baina ya watu, familia au jamii, pamoja na kushindwa kutimiza  au kutimiziwa malengo kadhaa. WHO inasema ugonjwa huo sasa ni tishio na haupewi kipaumbele duniani. Zaidi ya watu milioni 300 wanakabiliwa na sonona. Tuzungumze ndiyo kauli mbiu inayotumiwa  katika kupazia sauti elimu dhidi ya [...]

Comments