Keep up to date with every new upload!

Join free & follow Idhaa ya Redio ya UM
Share
  • 2 years ago
Pazia zafungwa, mkutano wa CSW60 jijini New York

Pazia zafungwa, mkutano wa CSW60 jijini New York

Mkutano wa 60 wa kamisheni ya hali ya wanwake CSW60 umefunga pazia makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York. Wanawake wawakilishi wa serikali na mashirika mbalimbali wamejadili kuhusu masula nyeti ya ustawi wao pamoja na changamoto wanazokabiliana nazo katika kufikia malengo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Je nini kilijiri katika mkutano huo wa wiki [...]

Comments